Top Stories

BREAKING: Mfanyabiashara MO Dewji inadaiwa katekwa alfajiri leo

on

Leo October 11, 2018 Mfanyabiashara maarufu nchini MO Dewji inadaiwa ametekwa watu wasiojulikana alfajiri ya leo akiwa anaingia Gym.

Shuhuda aliekuwa eneo la tukio “Akiwa anaingia Gym wamepiga risasi juu wakakimbia nae”.

Taarifa kamili kukujia hivi punde.

LIVE MAGAZETI: Kimenuka mabasi ya mwendokasi, Msijamiiane na Wanaume wasiotahiriwa

Soma na hizi

Tupia Comments