Top Stories

Waziri Mkuu alivyopokea Wachina zaidi ya 300, Waziri Kigwangalla atuma ujumbe (+video)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza mapokezi ya Wachina zaidi ya 300 ambao wamekuja nchini kwa ajili ya kutembelea Hifadhi za Taifa, Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamis Kigwangalla amesema wanatarajia kukaa nchini kwa siku tano ambapo pamoja na mambo mengine watavutia fursa za uwekezaji.

RC MWANRI KAKAMATA VITU VIMEIBIWA KANISANI “SAKAMA WOTE PIGA BANGILI SUKUMA NDANI”

Soma na hizi

Tupia Comments