Top Stories

Baada ya kuchambwa Instagram, Miss Lake zone wabadili zawadi

on

Baada ya taarifa kusambaa zikisema zawadi ya gari ilikuyokuwa itolewe kwa mshindi wa Miss Lake Zone 2018, kukataliwa kwa kuwa gari linaonekana kutumika, Kamati ya Miss Lake Zone imeamua kubadilisha gari na kuweka gari mpya aina ya Passo tofauti na ile ya mwanzo kama zawadi kwa mshindi.

UFAFANUZI: Gari iliyokataliwa Miss Lake Zone

BREAKING: Waziri Kigwangalla apata ajali, ‘Mwandishi wake afariki’

 

Soma na hizi

Tupia Comments