Leo July 1, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jen. Marco Gaguti amezindua msimu wa ukusanyaji wa Kahawa 2019-2020 Mkoani humo ambapo ameeleza mbadala wa kucheleweshwa fedha za malipo ya wakulima.
MKE WA MSAIDIZI WA ZITTO KABWE ALIETEKWA AFUNGUKA, MUMEWE ALIVYOTEKWA