Top Stories

BREAKING: Kinachoendelea Tanga kwa marehemu Mzee Majuto, “eneo la kuzikiwa aliliandaa”

on

Leo August 9, 2018 AyoTV imefika mkoani Tanga nyumbani kwake Mzee Majuto ambapo ndipo msiba utakuwa kabla ya kwenda kuzikwa kesho katika eneo la Kiruku ambapo yeye alitaka azikwe katika eneo hilo.

 LIVE MSIBA WA MZEE MAJUTO: Mwili wake ukitolewa Mochwari muda huu

HII NDIO NYUMBA YA MZEE MAJUTO ILIYOPO TANGA MJINI

Soma na hizi

Tupia Comments