Breaking News

BREAKING: Rais Magufuli amtumbua Balozi wa Tanzania nchini Canada

on

Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata.

Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018 pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi.

 

OFA: “Watanzania 150 kwenda Israel kwa Miezi 11, kurudi na zaidi Milioni 20” JPM

Soma na hizi

Tupia Comments