Top Stories

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama

on

Kuanzia leo July 15, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Fadhili Nkurlu kuanzia.

Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.

Anamringi Macha ametakiwa kuripoti katika kituo chake cha kazi mara moja.

LIVE MAGAZETI: Kikosi kipya CCM kupambana na Matajiri, Wanataabika

 

Soma na hizi

Tupia Comments