Top Stories

“Kabudi na Mpango nimewatukana pumbavu sana japo wananizidi umri” Rais Magufuli (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli leo June 10, 2019 amesema “Prof. Kabudi na Waziri Mpango hawataki kusema lakini kama ni pumbavu kwenye simu wametukanwa mno, wananizidi umri lakini pumbavu zinakuja tu harakaharaka zenyewe, ndio ukweli kwa sababu hii kazi sio ya kubembelezana lazima tuipeleke kijeshi”.

HALIMA MDEE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI “NIMEIMARIKA KWA KASI YA AJABU”

Soma na hizi

Tupia Comments