Video Mpya

VideoMpya: Christian Bella amepewa shavu na Daddy Face kwenye ‘Come Back’

on

Leo August 5, 2018 nakusogezea wimbo wa kwake Daddy Face ambao amemshirikisha mkali wa masauti Bongo Christiana Bella wimbo unaitwa ‘Come Back’ imefanyika Houston Texas nchini Marekani ikiwa Directed na Dang films na Audio imefanywa na Producer Lick lick.

Daddy Face ni Mtanzania ambaye anaishi nchini Marekani na shughuli zake za Muziki anafanyia hukohuko. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama usisahau kuacha Comment yako mtu wangu. 

TOP 8: MATUKIO MAKUBWA YA KUKUMBUKWA UAPISHWAJI WA MHESHIMIWA JOKATE

Soma na hizi

Tupia Comments