Top Stories

Rais Magufuli akutana na Viongozi wakuu wa CCM na wa Serikali Lumumba

on

Leo August 14, 2018 Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ameongoza Kikao Cha Kamati Kuu katika Ofisi Ndogo ya Lumumba Jijini DSM ambacho kimeudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na viongozi wa CCM Taifa.

WATU 10 MAARUFU WANAOTUMIA ZAIDI MKONO WA KUSHOTO

Soma na hizi

Tupia Comments