Top Stories

Gari lililomteka Mo Dewji labadilishwa namba

on

Gari linaloaminika kuhusika kumteka mfanyabiashara MO DEWJI limetelekezwa maeneo ya Viwanja vya Gymkhana. Picha zilizotolewa jana na IGP Simon Sirro zilionesha gari hilo likiwa na namba za usajili AGX 404 MC lakini leo linaonekana limetekelezwa likiwa na namba tofauti.

BERAKING: Hapa ndipo Mo dewji alipoachwa na watekaji, Wameacha gari

Soma na hizi

Tupia Comments