Michezo

Wachezaji wa Simba SC na Asante Kotoko walivyowasili Taifa Simba Day

on

Muda huu kutoka Uwanja wa Taifa katika Simba Day ni wachezaji wa Klabu ya Simba Sports Club wakiingia Uwanjani ambapo watacheza na Asante Kotoko kutoka nchini Ghana.

Haji Manara alivyoingia Taifa sio De Le Boss tena ila “King De Le Boss”

SIMBA DAY: Haji Manara akicheza Muziki na Mwasiti na Luiza Mbutu

Soma na hizi

Tupia Comments