Top Stories

MAJONZI: Mwili wa Ephraim Kibonde umeagwa Mwanza na kusafirishwa (+video)

on

Mwili wa Mtangazaji Ephraim Kibonde ulivyoagwa leo Mwanza na Wakazi wa Mwanza waliojitokeza kwenye Hospital Bugando ambapo baada ya hapo ulipelekwa Airport kwa ajili ya kusafirishwa mpaka Dar es salaam atakakozikwa Jumamosi hii.

BANTU KAELEZA ALIVYOUMIZWA NA MSIBA WA SWAHIBA WAKE KIBONDE

Soma na hizi

Tupia Comments