Top Stories

LIVE: Kutoka Leaders Club Mwili wa Mtoto Patrick unavyoagwa

on

Mwili Mtoto Patrick Peter Komu umeagwa na ndugu, jamaa na marafiki katika Viwanja vya Leaders Club jijini DSM , Tazama LIVE kinachoendelea katika Viwanjani hapo kwa kubonyeza PLAY hapa chini kutazama

Bamdogo wa Patrick afunguka yote “Mwili ulipo, Muna kufanyiwa maombi”

Soma na hizi

Tupia Comments