Top Stories

Ujumbe wa Mbunge Bashungwa kwa Rais JPM na Waziri mkuu Majaliwa

on

Miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni na kuwasilisha mapendekezo yao katika mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na mwongozo wa kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20 ni pamoja na Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ambapo katika uwasilishaji wake alitumia nafasi hiyo kutuma salamu zake kwa Rais Magufuli na Waziri Mkuu Majaliwa katika kipindi chao cha uongozi ndani ya miaka mitatu.

“Haya yote ni matokeo ya Serikali ya Magufuli”-Mbunge Mhagama

Soma na hizi

Tupia Comments