Top Stories

Camera iliyoanguka na kukaa ziwani kwa miaka miwili yakutwa nzima

on

Katika hali ya kushangaza huko nchini Marekani, kamera moja ambayo ilipotea baada ya kuanguka ziwani na kukaa huko kwa miaka miwili imepatikana ikiwa nzima.

Inaelezwa kuwa kamera hiyo iliokotwa kwenye ufukwe huko Taiwan ikiwa imefunikwa na matope na uchafu mwingine bila hata kutambulika, lakini ilivyosafishwa ikagundulika kuwa bado ni nzima.

Kamera hiyo iliokotwa na wanafunzi pamoja na walimu wao ambao walikuwa kwenye ufukwe huo na tayari wameanza kumtafuta mmiliki wake kupitia mtandao wa Facebook.

Steve Nyerere kafunguka “Wenye akili tupo wachache, wajinga wengi wanatuchafua”

 

Soma na hizi

Tupia Comments