Top Stories

PICHA 5: Muonekano nyumbani kwa Munalove ambapo Msiba utakuwepo

on

Leo July 5, 2018 Camera ya millardayo.com imefika Mbezi Beach nyumbani kwa Munalove ambaye ndie Mama mzazi wa Mtoto Patrick aliefariki Nairobi nchini Kenya ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.

MillardAyo nakusogezea PICHA 6 hali ilivyo nyumbani hapo.

 

Baada ya vuta nikuvute, Muna Love amemtaja baba wa mtoto

 

Soma na hizi

Tupia Comments