Top Stories

Mwanafunzi aliefariki wa kipigo azikwa, TAMISEMI watoa tamko la Serikali (+video)

on

Leo September 1, 2018 Mwili wa Mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa viboko na Mwalimu wake wa Nidhamu, Sperius Radius hatimaye umezikwa Wilayani Muleba nyumbani kwa wazazi wake, kupitia mazishi hayo Naibu Waziri TAMISEMI, Joseph Kandege ameeleza msimamo wao kama Serikali juu ya kifo hicho.

Askofu azikwa ndani ya Kanisa, Waziri Mwijage akumbuka Vita ya Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments