Burudani

Machalii wa Chugga wanao-trend Mtandaoni “Mwanaume Dar atakaa, ni sedere bidengere”

on

Arusha moja ya Mkoa ambao ukiachia mbali suala la Utalii pia kumekuwa na style mbalimbali za mavazi, leo September 24, 2018 nakusogezea machalii kuto Arusha wenyewe upenda kupaita Chugga ambao hawa wametrend Mitandaoni kwa style yao ya uchezaji.

VITUKO: Wakwe walalamika kulishwa wali maharage wakimchukua Mwari

Soma na hizi

Tupia Comments