Top Stories

Nape amesema Watapata tabu sana wanuka maziwa

on

Leo July 5, 2018 Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amewafungukia wanaosambaza taarifa kuwa  amesimamiswa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi nakusema watapata tabu sana.

Nape ametoa kauli hii baada ya kusambaa taarifa katika mitandao ya kijamii kwamba barua ya Mbunge huyo kusimamishwa uanachama wa Chama chake imekwishamfikia mkononi.

“Kwa UZUSHI huu WATAPATA TABU SANA wanuka maziwa, ndio shida ya kudandia treni kwa mbele, unawakuta wenyeji unakuwa Mwenyezi kuliko….!” Nape Nnauye

Lowassa amemwambia Rais Magufuli “Tupime maneno yetu tusije kimbia nchi”

Soma na hizi

Tupia Comments