Top Stories

Alichoongea Patrick kabla ya kufariki akiwa amelala kifuani “Daddy naumia”

on

Stori ya kifo cha Mtoto Patrick imewagusa wengi na still inaendelea kuwagusa wengi kila kukicha tukiwa tunasubiria kufahamu taratibu za mazishi AyoTV imekinasa kile alichoongea Patrick dakika chache kabla ya mauti kumfika.

Kwa mujibu wa Joel Lwaga ambaye alikuwa ana muuguza Patrick, Nairobi pamoja na Mama yake ameandika stori ndefu kidogo katika ukurasa wake wa instagram akieleza vile alivyokutana na Patrick mpaka akawa Baba yake wa kiroho nakufikia hatua ya kumjali kwa kila jambo na wakati umauti unamkuta alikuwa yupo nae.

Ameandika hivi Joel Lwaga “Hii ilikuwa ndio siku ya kwanza tulipoonana na since then u chose to call me Dady…Katika wakati huu muhimu ninaposhuhudia safari yako ya mwisho shujaa wa imani, nilikuahidi kutokukuacha and i made it to be there from the beginning of your illness till the time wen u said “Daddy…naumia” and i replied God is going to heal you son!”

“Hilo ndilo lilikuwa neno lako la mwisho kuniambia wakati ukiwa umelaza kichwa chako kifuani kwangu nakusinzia kisha ukaingizwa chumba cha wagonjwa mahututi ambapo haukurudi tena ukiwa hai nimekusubiri kwa siku tano pembeni ya kitanda chako lakini umeamua usirudi …ni zamu yangu kukwambia sasa naumia😭😭 naumia baba😭😭….” Joel Lwaga

Aliendelea kuandika Joel “Lakini wewe ni shujaa uliyerudi Nyumbani, an Amazing soul and a servant of God pumzika mwanaume, umeamua kujumuika na Bwana katika wingu la malaika….kama wanadamu tulitamani sana uendelee kuwepo ukue uwe mkuu na kumsaidia mama yako lakini imempendeza Mungu ukakae katika utukufu wake!”

“Pole mama @munalove100we are still together in this also, Mungu aujuaye Moyo wako na akupe Faraja ya kwel ipitayo ufahamu wa kibinadamu na akuvushe salama katika kipnd hiki kigumu R.I.P Hero! R.I.P @patdasmartboy#tillwemeetagainson”

Amehitimisha kwa kusema Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake na lihimidiwe!

Hii ilikuwa ndio siku ya kwanza tulipoonana na since then u chose to call me Dady…Katika wakati huu muhimu ninaposhuhudia safari yako ya mwisho shujaa wa imani, nilikuahidi kutokukuacha and i made it to be there from the beginning of your illness till the time wen u said “Daddy…naumia” and i replied God is going to heal you son! that was the last word u said, u laid your head on my chest and role your hands around my neck and went silent and getting inside of that ICU where u havent come out nimekusubiri kwa siku tano pembeni ya kitanda chako lakini umeamua usirudi …ni zamu yangu kukwambia sasa naumia😭😭 naumia baba😭😭…. lakini wewe ni shujaa uliyerudi Nyumbani, an Amazing soul and a servant of God pumzika mwanaume, umeamua kujumuika na Bwana katika wingu la malaika….kama wanadamu tulitamani sana uendelee kuwepo ukue uwe mkuu na kumsaidia mama yako lakini imempendeza Mungu ukakae katika utukufu wake! Pole mama @munalove100 we are still together in this also, Mungu aujuaye Moyo wako na akupe Faraja ya kwel ipitayo ufahamu wa kibinadamu na akuvushe salama katika kipnd hiki kigumu R.I.P Hero! R.I.P @patdasmartboy #tillwemeetagainson Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake na lihimidiwe!

A post shared by Joel Lwaga (@joellwaga_official) on

Baada ya vuta nikuvute, Muna Love amemtaja baba wa mtoto

 

Soma na hizi

Tupia Comments