Top Stories

BREAKING: Mama Mzazi wa Mbunge ‘Sugu’ amefariki Dunia

on

Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha.

RAIS MAGUFULI AMTUMA MSTAAFU KIKWETE ZIMBABWE, CHEYO NAE

 

Soma na hizi

Tupia Comments