Video Mpya

VideoMpya: Kutoka kwa Mfalme wa muda wote wa Bongofleva Dully Sykes inaitwa ‘ZOOM’

on

Leo June 8, 2018 nakusogezea hii kutoka Mkali wa muda wote ndani ya Bongofleva PRINCE DULLY SYKES ametuletea dude jipya kabisa linaitwa ‘ZOOM’ ikiwa ni mkono wa Mr T Touch.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama ‘ZOOM’ usisahau kuacha comment yako.

FULL STORY: Producer aeleza dakika za mwisho za maisha ya ‘SAM WA UKWELI’

Soma na hizi

Tupia Comments