Top Stories

Familia “MO DEWJI alipiga Simu yeye mwenyewe kwa Baba yake”

on

Familia ya Mo yasema Mohammed Dewji ndio aliwapigia simu mida ya saa nane na dakika 30-40 usiku na wakakimbia kwenda kumfata maeneo ya Gymkana DSM “hakuwa amefungwa popote na afya yake ni nzuri.. hajaumizwa”

“Mo Dewji ndiye alipiga simu kwa baba yake baada ya kuachiwa saa 8:30 usiku.”- Msemaji wa Familia ya Dewji, Azim Dewji

BREAKING: MO DEWJI “Nilifungwa kamba, walinibembeleza nile chakula”

Soma na hizi

Tupia Comments