AudioMpya

AudiMPYA: Kundi jipya Bongoflevani Game Changer wameanza na hii ‘Umenimaliza’

on

Bongoflevani leo December 10, 2018 Nakusogezea Kundi jipya la Muziki wa Rap wanaitwa Game Changer na kwa kuanza wametuletea wimbo wao mpya unaitwa ‘Umenimaliza’, Producer ni Panda Pro. Bonyeza PLAY hapa chini kuisikiliza.

HUYU NDIE SULTAN SULEIMAN WA TAMTHILIA YA SULTAN 👑, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments