Top Stories

Meli ya MV. Liemba imeacha kufanya kazi Kigoma, Serikali imetoa ahadi (+video)

on

Kaimu Meneja wa Kampuni ya Huduma za Meli Tawi la Kigoma Joel Gagala hapa anaeleza mipango ya Serikali ya kuikarabati meli ya MV Liemba ili iweze kuwa ya kisasa huku akieleza sababu ya kusimamishwa kwa meli hiyo kutoa huduma ili kuikarabati.

Gagala anatuambia meli hiyo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Tanzania na nchi nyingine zinazopakana na Ziwa Tanganyika isipokuwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa sababu mbalimbali kiwemo ya kiusalama.

Wanafunzi wa SAUT Mwanza kukosa Mikopo, tamko limetolewa (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments