Top Stories

“Tunatekeleza miradi 500, Bilioni 604 mkopo, haijawahi tokea” Prof. Mbarawa (+video)

on

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji wa Ziwa Victoria kutoka Mwanza kwenda Tabora na amesema Serikali inatekeleza miradi mikubwa ya maji inayogharimu zaidi ya Bilion 900 inayokamilika kabla ya 2020.

Kasi ya mradi ni nzuri na yakuridhisha haijawahi kutokea katika miradi ya maji tunataka umalizike miezi minne kabla ya muda wa mkataba, tuna miradi 500 nchi nzima na yote tunaitekeleza ifikapo 2020 watanzania watapata maji kwa asilimia 90 kwa Mjini na Vijijini asilimia 85″ Prof. Mbarawa

POLISI ARUSHA WANA MASHINE INAYODAI MADENI, RPC KASEMA “INA AKILI KULIKO BINADAMU”

Soma na hizi

Tupia Comments