Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa maagizo kwa SIDO na Chuo cha Usafirishaji NIT kuhusu BAJAJI iliyoundwa na Mtanzania ambapo amesema kabla ya September 14, 2018 iwe imerekebishwa kwa kuondolewa CM 10 iliyosababisha BAJAJI hiyo ikose kibali cha kuingia barabarani.
Rais Magufuli ametisha kagawa laki tano tano, ataka Lukuvi azirudishe