Ripoti kutokea Ukara eneo ambalo ilitokea ajali ya Kivuko cha Mv Nyrere September 20, zoezi linalofanyiaka kwa sasa ni kukinasua Kivuko ambapo zoezi hilo linasimamiwa na Mkuu wa Majeshi Tanzania Venance Mabeyo.
Mabeyo ametupa updates juu ya lilipofikia zoezi la unasuaji Mv Nyerere na kwamba mpaka sasa wamefikia pazuri na mambo yakienda kama walivyopanga basi muda si mrefu watakisimamisha ili waangalie kama kuna miili mingine.
LIVE MAGAZETI: Uamuzi mgumu, Mhandisi Kivuko cha MV Nyerere akamatwa
Habari mpya Mume amtambua Mkewe akiwa kaburini, “wametaka kufukua maiti”