Top Stories

Silaha za kivita, bomu, magobore, nyama ya nungunungu zakamatwa na Polisi (+video)

on

Kikosi toka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Polisi Mkoani Kigoma walifanya Oparesheni maalumu ya kukamata watuhumiwa wanaojihusisha na matukio ya ujambazi pamoja na unyang’anyi wa kutumia silaha kwenye barabara kuu ya Kibondo na Kasulu utekaji wa magari kwenye barabara ya Kagerankanda Kasulu pamoja na Vijiji vya Chelenya, Balulanzwili Muhanga na Mvinza.

ZITTO KABWE KUHUSU UTEUZI WA CAG MPYA, ADAI NI WA KUFICHA WIZI, UFISADI

Soma na hizi

Tupia Comments