Top Stories

Tazama Wakandarasi Wachina walivyokamatwa DSM (+video)

on

Wakandarasi wa Kampuni za CHICCO Engineering na Nyanza Road Work leo wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya DSM kwa agizo la RC Makonda ambae ameagiza kukamatwa kwa wakandarasi hao kwa kosa la kushindwa kutekeleza miradi ya Ujenzi wa Mto Ng’ombe na Barabara ya Kivule kwa wakati na kuleta usumbufu kwa wananchi.

MTENGENEZA MKAA ALIESHINDA MILIONI 300 ZA MAMA SAMIA, ALILIPWA 3000 KWA MWEZI

Soma na hizi

Tupia Comments