Top Stories

Zoezi la unasuaji wa Kivuko cha MV. NYERERE umefikia pazuri (+VIDEO)

on

Leo September 24, 2018 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Venance Mabeyo amesema zoezi la kukinasua Kivuko cha Mv. Nyerere limefikia pazuri tayari wamekiinua upande mmoja na wana matumaini kitatoka vizuri.

“Wameanza kukinyanyua kwenye injini, ili kukinyanyuliwa kije juu kielee lakini sasa kinafungwa maboya kwa chini, tunaandaa pampu ili kikichota maji yaweze kunyonywa, tuwe na matumaini kivuko kitatoka vizuri” -Mabeyo

“Tutapata Miili mingi zaidi tukipindua Kivuko, tutawapima DNA” Waziri Mkuu

Soma na hizi

Tupia Comments