Video Mpya

VideoMpya: Nimeipokea ‘Mungu atakuinua’ ya Justin Vema karibu kuitazama

on

Justin Vema ni Mwimbaji wa Muziki wa injili Tanzania leo November 2, 2018 ametuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Mungu atakuinua’ umefanyika ndani ya studio za Mazuu Record na Director wa video ni Manrizo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama usisahau kuacha comment umeipokeaje.

ALIEOLEWA WA KWANZA NA REGINALD MENGI AMEFARIKI

 

Soma na hizi

Tupia Comments