Top Stories

SURPRISE: Bondia Mwakinyo alivyotinga Bungeni, Spika “mshikeni mpaka kwa Waziri Mkuu”

on

Leo September 14, 2018 Kutoka Bungeni Dodoma Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewafanyia ‘surprise’ Wabunge kwa kumkaribisha Bondia alieshinda huko Birmingham Hassan Wakinyo aliemchapa Bondia Sam Eggington wa Uingereza.

Style ya uombaji kura huko Monduli, Mbunge azunguka uwanja wa Sarakasi

 

Soma na hizi

Tupia Comments