Habari za Mastaa

Karibu kutazama Picha 22 kuanzia kuapishwa mpaka Ofisini kwa Jokate Mwegelo

on

Leo August 3, 2018 story kubwa Tanzania ni kuapishwa kwa Mkuu wa Wilaya mteule wa Kisarawe Jokate Mwegelo ambae ameapishiwa Kibaha katika mkoa wa Pwani na baada ya hapo kuelekea Kisarawe ambapo ndipo Makazi yake na Ofisi yake.

Nimekusogezea PICHA 22 katika matukio mbalimbali ya Jokate ya siku ya leo kuanzia uapisho mpaka Ofisini kwake Kisarawe.

JOKATE: “kwa vyovyote vile sitotoa siri nitazozijua kwenye Ukuu wa Wilaya”

UTEUZI WA JOKATE: TGNP watoa tamko | Walaani “inakatisha tamaa Wanawake”

Soma na hizi

Tupia Comments