Zikiwa zimepita siku sita tangu kutokea kwa ajali ya Mv Nyerere iliyosababisha vifo vya watu zaidi ya mia mbili Jumuiya ya Afrika Mashariki kupitia kwa Katibu Mkuu Dr. Liberat Mfumukeko amekutana nakufanya maombi maalumu ya kuwaombea wale wote waliofariki pamoja na walionusurika kwenye ajali hiyo huku wakituma salama za rambirambi kwa Rais wa Tanzania, Dr. John Magufuli
Habari mpya Mume amtambua Mkewe akiwa kaburini, “wametaka kufukua maiti”