Top Stories

Amber Rutty na Mpenzi wake waachiwa kwa dhamana

on

Baada ya kosota rumande kwa siku 25, hatimaye msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake Said Bakary wamedhaminiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Amber Rutty na Said Bakary walifikishwa mahakamani hapo November 2, 2018 wakikabiliwa na kosa la kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Mbali na Amber Ruth na Said Bakary ambao walishindwa kudhaminiwa kwa mara tatu mfululizo mshtakiwa mwingine ni James Charles maarufu kama ‘James Delicious’ ambaye yeye alishadhaminiwa.

Mchungaji wa Mitume na Maaskofu Tanzania wa Kanisa la Emmaus Bible Church Pentecostal, Daud Mashimo ndie aliewadhamini.

VIDEO YA GIGY MONEY AKIMPIGA NGUMI MWANAUME SEHEMU ZA SIRI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments