Top Stories

BREAKING: Fundi Mkuu wa MV. Nyerere ameokolewa akiwa HAI (+video)

on

Fundi mkuu wa Mv NYERERE Alphonce Cherehani amepatikana akiwa hai na kuokolewa muda huu, hadi sasa idadi ya miili iliyoopolewa ni 163 kwa mjibu wa Waziri wa Uchukuzi ambapo miili 116 tayari imetambuliwa.

Inasemekana kuwa Fundi Mkuu wa MV Nyerere, Mhandisi Agustino Cherehani ambae ameokolewa leo akiwa hai alikuwa amejifungia ktk chumba maalumu ndani ya kivuko hicho tangu kilipozama

BENDERA YA TAIFA INAVYOPEPEA NUSU MLINGOTI

Soma na hizi

Tupia Comments