Top Stories

BREAKING LIVE: Rais Magufuli anazindua mradi wa maji Ukerewe

on

Muda huu ndani ya AyoTV Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli anazindua Mradi wa Maji katika Kijiji cha Nebuye wilayani Ukerewe. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama

“Umasikini hauna aibu utabaki uchi /ukae mguu pande mguu sawa”RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments