Top Stories

Bendera ya Taifa inavyopepea nusu mlingoti (+video)

on

Agizo la Rais John Magufuli la Bendera ya Taifa kupepea kwa nusu mlingoti kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 22 kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea mkoani Mwanza limetekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini.

Hii ni video fupi inayoonesha Bendera ikipepea nusu mlingoti.

HUZUNI: Miili inaelea, maiti 125 zimetolewa majini, Helicopter ziko hewani

Soma na hizi

Tupia Comments