Top Stories

BREAKING: Zaidi ya Saa 5 Mbowe na Matiko ngoma nzito (+video)

on

Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha usikilizwaji wa Rufaa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko hadi hapo rufaa ya upande wa mashtaka itakaposikilizwa Mahakama ya Rufani ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya kusikiliza rufaa hiyo.

ZITTO KABWE AZUIWA KUMPA MKONO MBOWE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments