Top Stories

Uwanja wa Dodoma utakuwa kama Mlima Kilimanjaro, utabeba watu zaidi ya laki moja (+video)

on

Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Misri wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo katika Jiji la Dodoma, unaotarajiwa kujengwa kwa msaada wa Mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema uwanja huo utajengwa eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma – Morogoro, utajengwa kwa mfano wa mlima Kilimanjaro na utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji kati ya 85,000 na 100,005.

RAIS MAGUFLI AONYESHWA ‘BONGE’ LA UWANJA WA MPIRA WA KISASA WA DODOMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments