Video Mpya

VideoMpya: Smile na Nedy Music wametuletea ‘Ti amo’ karibu kuitazama

on

Leo November 7, 2018 Wakali wawili wamekutana katika track moja ni Smile TheGenius toka Zanzibar na Nedy Music ambapo wametuandalia ngoma mpya inaitwa Ti amo , bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuacha comment yako ili Smile na Nedy waone umeipokeaje

Polisi imewakamata ‘Mashoga’ kumi wakisheherekea ‘harusi ya kishoga’

Soma na hizi

Tupia Comments