Top Stories

“Nakufukuza na nikikufukuza hupati kazi popote hata uroge” Prof. Mbarawa (+video)

on

Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa amesikitishwa na tabia ya baadhi ya Wakandarasi pamoja na Wahandisi wasiokuwa waaminifu kushindwa kukamilisha Miradi ya maji kwa wakati katika Wilaya za Kasulu na Buhigwe mkoani Kigoma.

Waziri Mbarawa amesema Serikali haiko tayari kuona Wananchi wakiendelea kukosa maji wakati fedha zimekuwa zikitolewa.

“Usipofanya hivyo Mimi ninakufukuza wenye site la nne nikikufukuza hupati kazi yoyote kama Waziri Mbarawa yupo pale, Makandarasi matapeli kama Wewe tumechoka, Mkurugenzi hawa wasi wadanganye” Waziri Mbarawa

ZITTO KABWE AZUIWA KUMPA MKONO MBOWE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments