Burudani

CHUGGA COMEDIAN: “Misibani tunaenda kula, DAR hawajui kuchekesha” (+video)

on

Life style ya Arusha bado inaendelea ku-trend Mitandaoni na leo November 27, 2018 nakusogezea hawa wanaitwa Chugga Comedian, wanakuambia wao wanachekesha kuliko Comedian wa DSM sema tu hawajapata platform ya kufahamika.

NI KWELI SUGU ATAACHA SIASA BAADA YA KUFUNGWA JELA?, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

VIDEO YA GIGY MONEY AKIMPIGA NGUMI MWANAUME SEHEMU ZA SIRI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments