Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

BREAKING: Lori la mafuta lawaka moto, watu zaidi ya 50 wadaiwa kufariki (+video)

on

“Katika mshangao sasa nashangaa nasikia moto umelipuka, tukaanza kukimbiana pikipiki zinaanguka hovyo, kila mtu anajitetea kivyake, nimeanguka nimechubuka, nimekuta watu wanagombania mafuta kama maji, moto umeibuka ghafla moto ni kifo” Shuhuda Petro James

KIGOGO TAKUKURU ALIVYODAKWA KWA KUOMBA RUSHWA MILIONI 200

Soma na hizi

Tupia Comments