Top Stories

“Ni mara ya kwanza naongea tangu Mume wangu afariki” Jacquline Mengi (+video)

on

Leo July 19, 2019 Jaquline Mengi amezungumza kwa mara ya kwanza na Waandishi wa habari baada ya kuondokewa na Mume wake Dr. Reginard Mengi, kwanza ametoa shukrani kwa Rais Magufuli na Serikali kwa ujumla kwa ushirikiano walionyesha wakati wa msiba.

“Kwakuwa ni mara yangu ya kwanza kuzungumza tangu nilipoondokewa na Mume wangu, ningependa kuwashukuru Rais Magufuli, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika Ndugai, Vyama vya Siasa, Taasisi na Watanzania wote ambao mlituonesha upendo mkubwa katika kumsindikiza Dr. Mengi” Jacquline

JACQULINE ‘SITASAHAU MANENO WAZIRI MKUU ALIMWAMBIA MENGI”

Soma na hizi

Tupia Comments