Top Stories

EXCLUSIVE: Rais Magufuli, Mkapa, Nyerere walivyoigizwa sauti zao

on

Tunayo story kutokea kwa Msanii Yusuph Myamba maarufu kama Yusuph Mkapa ambaye ni msanii wa kwanza kuigiza sauti ya Rais mstaafu wa awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa.

Mbali ya kuigiza sauti ya Mkapa, pia ana uwezo wa kuigiza sauti nyingine za viongozi mbalimbali akiwemo Rais John Magufuli, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Bonyeza hapa chini kusomewa Magazeti ya leo October 12 2018 na Pascal Mwakyoma.

Soma na hizi

Tupia Comments