Top Stories

OFA: “Watanzania 150 kwenda Israel kwa Miezi 11, kurudi na zaidi Milioni 20” JPM

on

Leo November 8, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amefanya mazungumzo na Balozi wa Israel hapa nchini Noah Gal Gendler.

Baada ya mazungumzo hayo Balozi Gendler amesema Israel imetoa nafasi za masomo kwa watanzania 150 watakaogharamiwa na Serikali ya Israel kwa ajili ya kujifunza utaalamu wa kilimo cha kisasa kwa miezi 11.

Mambo 7 aliyozungumza Rais Magufuli leo “tengeni siku mbili mkatalii bure”

Mtoto wa Mama Ntilie alieuza Mihogo mpaka kumiliki Shule inayoongoza Tanzania

Soma na hizi

Tupia Comments