Mbunge wa Viti maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Oliver Semguruka yupo miongoni mwa viongozi wanaozunguka na Waziri Mkuu katika ziara yake Mkoani humo.
Wakiwa wilayani Kyerwa amejikuta akiwaacha watu hoi baada ya kuanza kuelezea changamoto ya maji kwa wanawake wa eneo hilo sambamba na kumuomba Waziri Mkuu kutatua changamoto hiyo ili waume zao wasibaki na baridi.
Mbunge awaacha watu hoi akitetea hoja ya maji kwa Waziri Mkuu